Kuhesabu wanyamaCounting|animals
Tiere zählen
Counting animals
contando animales
Compter les animaux
Contare gli animali
動物を数える
동물 세기
Liczenie zwierząt
Contando animais
Подсчет животных
数动物
Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.Elephant|one|is going|to drink|water
One elephant goes to drink water.
Twiga wawili wanaenda kunywa maji.Giraffes|two|"are going"|to drink|water
Two giraffes go to drink water.
Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.Buffalo|Three||birds|four|they|"are going"|to drink|
Three buffaloes and four birds also go to drink water.
Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.Gazelles|five of them||warthogs|six warthogs|are walking|towards|to the|water
Five antelopes and six wild boars are walking towards the water.
Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.zebras|zebras|seven|are running|towards|to|water
Seven striped donkeys are running towards the water.
Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.Frogs|eight frogs||fish|nine|are swimming||
Eight frogs and nine fish swim in the water.
Simba mmoja anaunguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?lion||is roaring|he|wants|to drink||who|fears him|lion|||||||||león
A lion roars. And he wants to drink water. Who is afraid of the lion?
Un lion rugit. Et il veut boire de l'eau. Qui a peur du lion ?
Tembo mmoja anakunywa maji na simba.elephant|one|is drinking|water||||bebe|||
An elephant is drinking water with a lion.